ANC sura mpya

  • | KBC Video
    25 views

    Kiongozi wa chama cha ANC Issa Timamy amesema chama hicho kiko imara na inaendesha shughuli zake katika maeneo ya mashinani. Timamy ambaye alitwaa uongozi wa chama hicho kutoka kwa Musalia Mudavadi, amesema anapania kuendeleza mafanikio ya mtangulizi wake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ANC #News #issatimamy