- 54 viewsAndrew Tate mwenye ushawishi mkubwa na mchezaji wa zamani wa kick boxing anazuiliwa nchini Romania kwa tuhuma ya uhalifu wa kupanga biashara haramu, ya usafirishaji binadamu alifikishwa katika mahakama ya Budarest Jumatano. Ungana na mwandishi wetu kwa habari kamili za nyota huyu... #andrewtate #mchezaji #kickboxing #romania #bucharest #uhalifu #biasharaharamu #usafirishajibinadamu #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Andrew Tate ashikiliwa Romania, akata rufaa
- 21 Jul 2025 - The Cabinet Secretary for Treasury John Mbadi has told off people criticizing president William Ruto’s regime saying that they should point out what did not happen during the previous regime.
- 21 Jul 2025 - There have been speculations about Raila's political path for 2027.
- 21 Jul 2025 - Activist Boniface Mwangi is set to be arraigned in court Monday over alleged facilitation of terrorist activities during the June 25 protests. According to a statement, Mwangi was arrested Saturday by detectives at his residence in Lukenya in Machakos…
- 21 Jul 2025 - The ODM leader has proposed a number of IEBC reforms.
- 21 Jul 2025 - The Teachers Service Commission (TSC) has issued a warning about a scam involving fraudsters selling fake TSC employment letters and registration certificates to unsuspecting job seekers. In a statement, the commission said the conmen are charging hefty…
- 21 Jul 2025 - Devolved units to begin receiving their shares from next month.
- 21 Jul 2025 - Businessman Zedekiah Kiprop Bundotich, popularly known as Buzeki, has criticised the government following the arrest of activist Boniface
- 21 Jul 2025 - Circumstances surrounding the crash are not yet fully established.
- 21 Jul 2025 - Only one-third of the Sustainable Development Goals (SDGs) are currently on track to be met, prompting the United Nations to declare a global development emergency. Progress has either stagnated or reversed in several key areas, including poverty,…
- 21 Jul 2025 - Alvin,15, was confirmed dead, his body lying unclaimed at the Nakuru Level Five Hospital mortuary.