ANGELIQUE KIDJO KATIKA TAMASHA LA UMOJA WA MATAIFA DESEMBER

  • | VOA Swahili
    Angelique Kidjo ni miongoni mwa wanamuziki mashuhuri watakaoshiriki kwenye tamasha litakalofanyika mtandaoni la kutetea haki za kijamii na ambalo litachangisha fedha wakati wa maadhimisho ya 75 tangu kubuniwa kwa Umoja wa Mataifa..#VOA