Ann Waiguru; vijana wahusishwe na maamuzi

  • | KBC Video
    12 views

    Mwenyekiti wa baraza la magavana Ann Waiguru amesema ushirikishwaji umma katika maamuzi unasalia kuwa mojawapo ya njia zinazoweza kutumiwa na kaunti kuimarisha imani ya wananchi. Gavana Waiguru amesema wanaobuni sera sharti wahusishe teknolojia na maoni ya wananchi hasusan vijana ambao maisha yao ya kesho yanategemea maamuzi yanayofanywa sasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive