9 Oct 2025 1:40 pm | Citizen TV 354 views Duration: 1:13 Chama cha wiper kimepata nguvu mpya baada ya wagombea watatu kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa wadi ya Mumbuni Kaskazini na kuahidi kumpigia debe Antony Kyalo Kisoi.