Anusurika mlipuko wa ghafla chini ya ardhi

  • | BBC Swahili
    2,673 views
    Mwanamume mmoja aliyekuwa akiweka nguzo kwa ajili ya uzio nchini Uingereza amenusurika na mlipuko uliotokea baada ya mashine yake kupasua bomba la gesi. Kikosi cha zima moto kilisema hakudhurika bali alipata "mshtuko kidogo". #bbcswahili #mlipukowagesi #gesi