Anyango kutoka Sophia Taita Taveta alipiwa karo ya chuo kikuu

  • | Citizen TV
    459 views

    Siku moja tu baada ya runinga ya citizen kuangazia masaibu ya familia ya mzee Thomas Abatch ya changamoto ya kufadhili masomo ya elimu ya juu ya mwana wao Pheny Anyango mwanafunzi kutoka kaunti ya Taita-Taveta hatimaye amepata ufadhili wa kuafikia ndoto zake.Anyango aliyefuzu kwa alama ya A katika mtihani wa kidato cha nne ana matumaini ya kusomea udaktari wa upasuaji, katika chuo kikuu cha kenyatta