Aramaget yakosa nuru

  • | Citizen TV
    1,872 views

    Eneo la Aramaget liliwafaidi sana wakazi wa kaunti ya West Pokot katika miaka ya 20 haswa katika shughuli za kuuza na kununua bidhaa. Eneo hili lilitajwa kuwa mojawepo ya masoko makubwa zaidi katika eneo la kaskazini mwa bonde la ufa. Lakini sasa hadhi hiyo imepotea huku majengo eneo hilo yakiashiria hali ya uchochole inayowagubika wakaazi wengi, kinyume na ilivyokuwa miaka 100 iliyopita. Collins shitiabayi alizuru mji huo na kuandaa taarifa ifuatayo