Arati na Wanga wamezea mate kiti cha naibu kiongozi

  • | Citizen TV
    1,612 views

    Siku chache baada ya baadhi ya viongozi wa chama cha ODM kuungana na serikali ya Kenya Kwanza, viongozi wa chama hicho kutoka zaidi ya Kaunti 21 wamefanya mkutano mjini Kisii kutaka mabadiliko yanayoonyesha sura ya kitaifa katika chama hicho.