Ardhi ya Kedong' Narok

  • | Citizen TV
    2,037 views

    Utata kuhusu umiliki wa ardhi eneo la Kedong, kaunti ya Narok, umechukua mkondo mpya baada ya rais William Ruto kuwazawadi wakazi jumla ya ekari elfu kumi ya shamba hilo. Aidha, Rais Ruto ambaye alianza rasmi ziara yake katika eneo la Kusini mwa Bonde la Ufa, pia alitangaza kuwa usimamizi wa msitu wa Mau sasa utakuwa chini ya serikali ya kaunti ya Narok.