Ardhi ya wakili Gibson Kamau Kuria iliyoko Karen yavamiwa

  • | Citizen TV
    4,763 views

    Watu wasiojulikana walivamia shamba la Wakili Gibson Kamau Kuria mtaani Karen hapa Nairobi wakitaka kujenga ua kwa madai kuwa linamilikiwa na mtu aliyewatuma.