- 1,257 viewsDuration: 2:30Ardhi za ikulu ndogo katika kaunti za Kisumu, Nakuru na Uasin Gishu zimenyakuliwa. Akizungumza mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuhusu usalama, msimamizi wa ikulu Katoo Ole Metito amefichua kuwa mwakilishi wadi mteule amejenga boma lake ndani ya shamba la ikulu ndogo ya Kisumu. Katoo amethibitisha kuwa ardhi ya ekari 100 iliyonyakuliwa ya ikulu ndogo ya kakamega imerudishwa.