"Arusha tumekuwa na lafudhi yetu inayowachanganya baadhi" - Dipper Rato

  • | BBC Swahili
    951 views
    Mwanamuziki wa Rege nchini Tanzania Dipper Bonaventure Kivuyo almaarufu @dipper_rato amedhamiria kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kwenye muziki huo ambao haupewi kipaumbele na wengi. Dipper ambaye pia anashikilia Tuzo ya mwanamuziki bora wa Ragga Dancehall mara mbili mfululizo, pia amekuwa balozi mkubwa wa utalii na muelimisha rika hasa kwa mabinti wa jamii ya kimaasai kwenye masuala ya hedhi na ukuaji Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds amefanya mazungumzo naye akiwa mkoani Arusha na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #tanzania #ausha