Arushwa angani na kite

  • | BBC Swahili
    Tazama kijana huyu ambaye alirushwa hadi angani na kite kubwa. Nadarasa Manoharan aliinuliwa juu ya mita 12 angani huko Point Pedro, Jaffna kaskazini mwa Sri Lanka. Kwa bahati nzuri alipata majeraha madogo tu. #bbcswahili #kite #srilanka