Asilimia 50 ya wagonjwa Lamu mashariki hawapati matibabu

  • | Citizen TV
    119 views

    Zaidi ya asilimia 50 ya wagojwa katika maeneo ya Visiwani, Lamu Mashariki, hutafuta matibabu katika hospitali ya kaunti ndogo ya Faza katika Kisiwa cha Pate wakati ambapo magonjwa yao yamekomaa au yamewalemea. Hali hiyo inachangiwa na changamoto za usafiri kwani wanategemea bahari na usafiri kwa kutumia mashua ni ghali ukilinganishwa na na usafiri wa barabarani.