Asilimia 60-70 ya idadi ya watu wanaathirika kwa njia moja au nyingine na saratani

  • | K24 Video
    24 views

    Shirika la afya ulimwenguni linaashiria kuwa asilimia 60-70 ya idadi ya watu wanaathirika kwa njia moja au nyingine na saratani ambayo bado imesalia kuwa moja ya sababu kuu ya ongezeko la vifo vingi ulimwenguni.na hapa nchini, asilimia 70 ya wagonjwa wa saratani hugunduliwa kuugua wakiwa wamechelewa kuanza matibabu, huku watu wawili kati ya watatu wakiaga kutokana na ugonjwa huo. Hii imewapelekea wagonjwa wa saratani, wataalamu na hata waliopona kujitolea kutoa hamasa kuhusu saratani na uchunguzi wa mapema.