Asiyeona anavyoshiriki mbio za Marathoni

  • | BBC Swahili
    280 views
    Jinsi mkimbiaji asiyeona alivyokimbia marathoni sita akiwa na mume wake. Inti Fu, mlemavu wa macho, amekimbia marathoni sita kubwa kati ya 2014 na 2023 akiwa na mumewe Chris Lo kama mwongozaji wake. - Wenzi hao kutoka Hong Kong walipitia migogoro katika uhusiano wao lakini kukimbia kumewaleta pamoja. - - - #bbcswahili #hongkong #marathoni #ulemavu #michezo