- 1,203 viewsDuration: 1:02Askari 11 kutoka kaunti ya Kisii walioshtakiwa kwa madai ya wizi wa bidhaa katika opereshini yao katika Boma moja eneo la Kegati viungani mwa mji wa Kisii watazuiliwa hadi Alhamisi ambapo watajulishwa iwapo wataachiliwa kwa dhamana au la.