Askari aliyekuwa akielekea Haiti afariki akiwa Marekani

  • | Citizen TV
    5,193 views

    Takriban wiki mbili zilizopita, mkasa wa moto wa mlipuko wa gesi ulikumba Embakasi mashariki, na kusambaratisha maisha ya jamii kadhaa katika eneo la mradi. Wakati hali inaanza kutulia, familia zinajikuta zikikabiliana na kazi ngumu ya kujenga upya maisha yazo yaliyosambaratika