Askari jela wadaiwa kumtelekeza mlemavu mgonjwa

  • | Citizen TV
    1,220 views

    Familia moja huko Kisumu sasa inawashutumu maafisa wa magereza kwa unyanyapaa, baada ya afya ya jamaa yao kudorora akiwa korokoroni kaunti ya siaya. Caleb Ochola Nyainda, aliyepata maradhi yaliyolemaza miguu anadaiwa kuteseka korokoroni baada ya kuondolewa hosptalini kwa kukosa fedha za upasuaji.