Askofu Alfred Rotich achukua usukani jimbo katoliki la Kericho

  • | Citizen TV
    Alfred Rotich amechukua usukani rasmi kama askofu wa jimbo katoliki la Kericho. Rotich, aliyewahi kuhudumu kama askofu wa kijeshi humu nchini amejaza pengo lililoachwa wazi na Askofu Emanuel Okombo aliyestaafu mwaka jana, baada ya kutimiza umri wa miaka 75. Martin kosgey alihudhuria hafla ya kusimikwa kwa askofu Rotich, na hii hapa taarifa yake.