Askofu Anthony Muheria aikosoa serikali akisema mswada wa fedha utazidi kuwakandamiza wakenya

  • | Citizen TV
    600 views

    Askofu mkuu wa kanisa katoliki dayosisi ya nyeri Anthony Muheria ameikosoa serikali kuhusiana na mswada wa fedha akisema utazidi kuwakandamiza wakenya. Akizungumza baada ya ibada ya jumapili, Askofu Muheria sasa akiwataka wabunge kutelekeza wajibu wao wa kuwakilisha maoni ya wakenya mswada huo utakapowasilishwa bunge.