Askofu mkuu Anthony Muheria amsuta Moses Kuria

  • | Citizen TV
    732 views

    Askofu mkuu wa kanisa katoliki katika jimbo kuu la Nyeri Anthony Muheria, ametaka taifa kuwa na mjadala kuhusu chakula cha kisaki au GMO, huku akitaka waziri wa biashara na viwanda Moses Kuria kuwaomba wakenya msamaha Kwa matamshi yake kuhusu GMO. Muheria anasema matamshi ya Kuria ni kejeli kwa wananchi ambao wanaelezea wasiwasi wao kuhusu GMO