Skip to main content
Skip to main content

Askofu mkuu wa ACK ahimiza wakenya kuzingatia usalama wao

  • | Citizen TV
    312 views
    Duration: 1:41
    Askofu wa Kanisa la Kianglikana Nchini Jacksin Ole Sapit amehimiza wakenya kuzingatia usalama wao kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini. Akizungumza katika kanisa la AGC Ololulung'a eneo bunge la Narok Kusini, askofu ole sapit ameitaka serikali kuu kututekeleza sheria inayodhibiti ujenzi karibu na maeneo ya mitaro ya maji taka . Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu naye ameamrisha ukaguzi wa madaraja yote ya kaunti hiyo ili kuhakikisha usalama wa wakazi mvua inapozidi kunyesha.