Askofu mteule wa kanisa la kiangilikana jimbo la Nambale

  • | West TV
    24 views
    Isaiah Obuya ndiye askofu mpya wa kanisa la kiangilikana jimbo la Nambale kaunti ya Busia baada ya kuibuka mshindi dhidi ya mpinzani wake John Jacob khamalau katika uchaguzi ambao umefanyika katika makao makuu ya jimbo hilo mjini nambale . akiongea muda mfupi baada ya ushindi huo, askofu mteule isaiah obuya ameelezea nia yake ya kuhakikisha kuwa anaunganisha wumini wote jimbo la nambale na pia kuhakikisha kuwa kanisa hilo linapata miradi ya maendeleo. Obuya anajaza pengo lililoachwa waziri baada ya aliyekua askofu dakta Robert Magina kustaafu mapema mwaka huu.