Askofu Muheria ataka serikali na wakenya kwa jumla kuepuka ufisadi

  • | K24 Video
    125 views

    Ufisadi unadidimiza juhudi zozote za kuujenga uchumi wa taifa. Huu ndio ujumbe kutoka kwa askofu wa kanisa katoliki dayosisi ya nyeri Anthony Muheria katika hotuba yake ya krisimasi kwa viongozi na wakenya kwa ujumla. Muheria pia ameongeza kuwa wakenya watie moyo na wabaki na matumaini kwamba uchumi utaimarika,