Askofu Ole Sapit apinga harambee za serikali, azitaja za kisiasa tu

  • | NTV Video
    76 views

    Kiongozi wa kanisa la Kianglikana nchini Askofu Jackson Ole Sapit, amekosoa vikali mpango wa serikali wa kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia harambee ambazo zimezinduliwa katika maeneo mbalimbali nchini akiitaja kuwa ya kisiasa na isiyokuwa na mwelekeo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya