Skip to main content
Skip to main content

Askofu Ong’injo awakemea viongozi kwa siasa zisizokwisha

  • | Citizen TV
    4,768 views
    Duration: 4:11
    Askofu wa Kanisa la Kianglikana Dayosisi ya Maseno South, Charles Ong'injo, amewakemea viongozi wa serikali na wabunge kwa kupiga siasa badala ya kushughulikia masuala yanayowaathiri wananchi. Akizungumza kwenye hafla ya mazishi ya babake mbunge wa Seme, James Nyikal, katika Kaunti ya Kisumu, askofu huyo alikosoa siasa zisizokwisha za “one term” na “two term,” akilitaja Bunge kuwa limefeli kutekeleza wajibu wake kwa wananchi. Kauli zake zilionekana kuwakera baadhi ya wanasiasa waliohudhuria hafla hiyo.