Askofu wa Kanisa Katoliki eneo la Eldoret Kimengich awataka wanasiasa kumakinika katika siasa zao

  • | Citizen TV
    63 views

    Askofu wa Kanisa Katoliki Dayosisi ya Eldoret Dominic Kimengich amewataka wanasiasa kufanya siasa zao kwa amani bila kutenganisha jamii. Kimengich amesema kuwa viongozi wa kidini wako radhi kuongoza mazungumzo na kutoa mustakabali kwa taifa. Aidha Kimengich amesema kuwa viongozi wa kidini wana haki ya kuwa na misimamo uhusu tofauti za kisiasa zinazoendelea kushuhudiwa nchini.