Askofu wa kanisa Katoliki Maralal ataka kasi zaidi katika shughuli za kuwasaka kamishna wa IEBC

  • | Citizen TV
    535 views

    Askofu wa kanisa katoliki eneo la Maralal Hieronymus Joya,ametoa changamoto Kwa jopo kazi la kuwasaka makamishna wapya wa tume ya uchaguzi IEBC, kuharakisha mchakato huo ili kuandaa chaguzi ndogo ya maeneo yanayokosa uakilishi. Jopo hilo Lina miezi mitatu kuwasaka makamishna wapya.