- 807 viewsJumanne Julian Assange alianza safari yake ya kurudi nyumbani Australia, baada ya kufikia makubaliano na mamlaka za Marekani. Mwanzilishi huyo wa WikiLeaks ametumia miaka mitano iliyopita gerezani nchini Uingereza. Assange alishtakiwa kwa kula njama ya kupata na kufichua taarifa za ulinzi wa taifa, baada ya tovuti ya Wikileaks kuchapisha rekodi za siri za kijeshi za Marekani. Kulingana na CBS, Assange hatatumikia muda wowote chini ya ulinzi wa Marekani kama sehemu ya makubaliano na wizara ya sheria na atapewa msamaha kwa muda aliokaa jela nchini Uingereza. #bbcswahili #australia #Wikileaks Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Assange aachiwa huru
- - Amerucan Golf Day ››
- 17 Aug 2025 - Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
- 17 Aug 2025 - A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
- 17 Aug 2025 - Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
- 17 Aug 2025 - How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
- 17 Aug 2025 - Court battles bleed billions from public universities
- 17 Aug 2025 - Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
- 17 Aug 2025 - Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance
- 17 Aug 2025 - Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
- 17 Aug 2025 - PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen
- 17 Aug 2025 - Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties