Athari ya kupanda kwa bei imeendelea kushuhudiwa maeneo mengi

  • | Citizen TV
    904 views

    Wakaazi wa kaunti ya Makueni wanalalamikia kulemewa na maisha kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta na bidhaa muhimu. wahudumu wa bodaboda katika kaunti hiyo sasa wametangaza ongezeko la nauli ya usafiri wakisema kuwa imekuwa vigumu kwao kulipia mikopo ya pikipiki na kujikimu kimaisha kutokana na gharama ya mafuta.