Athari ya mafuriko Lamu

  • | Citizen TV
    864 views

    Kukatizwa kwa usafiri katika barabara kuu ya Lamu Witu na Garsen katika eneo la Gamba baada ya kusombwa na mafuriko, kumeathiri pakubwa swala la elimu ambapo wanafunzi wengi hadi sasa hawajaweza kusafiri kuelekea shuleni.Hii ni kutokana na hofu ya kuvuka kwa maboti sawia na gharama za usafiri eneo hilo la Gamba.