Athari Za Mafuriko: Kaunti ya Mandera imeathirika zaidi

  • | KBC Video
    30 views

    Shirika la msalaba mwekundu limesema familia 14000 nchini zimeachwa bila makao kutokana na mafuriko yanayosababishwa mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maneneo mbalimbali nchini. Akiongea na shirika la runinga ya Kbc Channel1, katibu wa shirika la msalaba mwekundu nchini Ahmed Idris alisema kuwa eneo lililoathirika zaidi ni kaunti ya Mandera. Alisema kundi linalojumuisha watu kutoka mashirika mbalimbali liko macho kushughulikia dharura zozote za mafuriko na kushughulikia tatizo la kusambaa kwa magonjwa miongoni mwa maswala mengine.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News