- 375 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Athari za mikopo kwa nchi masikini barani Afrika
- 16 Jun 2025 - Police Constable James Mukhwana, currently in custody over the brutal killing of blogger and teacher Albert Ojwang’, has broken his silence, revealing chilling details about what transpired on the night of June 7, 2025, while Ojwang’ was held at the…
- 16 Jun 2025 - The technician, who was reportedly paid Ksh.3,000 to disable the surveillance system, was remanded in Kilimani Police Station with a second suspect. Their detention follows an application by IPOA through its Assistant Director of Forensics, Paul Njihia.
- 16 Jun 2025 - The High Court in Isiolo issued an order stopping the impeachment of Governor Abdi Guyo pending hearing and determination of the case before it.
- 16 Jun 2025 - The police constable who was first arrested in connection to Ojwang's death has spoken up.
- 16 Jun 2025 - A section of ODM party members in Mombasa is calling for the urgent review and repeal of the Computer Misuse and Cybercrimes Act, 2018 (CMCA), claiming it has contributed to the harassment, arrests, and even killings of bloggers and youths. Led by ODM…
- 16 Jun 2025 - Four senior police officers charged in baby Samantha Pendo’s murder case have been granted a cash bail of Ksh.1 million shillings and two sureties of Ksh.500,000 each.
- 16 Jun 2025 - Shock and grief have engulfed residents of Vatican Estate in Olkalou, Nyandarua County, after a middle-aged woman was brutally beheaded by an unknown assailant. The victim, identified as Maureen, a mother of three and a well-known boiled eggs vendor in…
- 16 Jun 2025 - Incidents of child neglect and abuse are increasingly becoming a disturbing reality in Gatundu South, Kiambu County, prompting urgent calls for action from community leaders and child welfare stakeholders.
- 16 Jun 2025 - Court to determine bond application by Central Police Station boss in three days' time.
- 16 Jun 2025 - The weatherman has also listed regions that are expected to experience cold temperatures.