Athari za moto Mlima Kilimanjaro

  • | BBC Swahili
    635 views
    Moto uliowaka kwa siku zaidi ya kumi kwenye hifadhi ya taifa yam lima Kilimanjaro umeacha athari kwenye maeneo mbalimbali ukiachana na uharibifu wa kiikolojia Moto huo umeteketeza miundombinu ya mawasiliano iliyokuwa inapeleka mawasiliano ya intaneti kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro Hakuna taarifa rasmi mpaka sasa kutoka serikalini iwapo moto huo tayari umedhibitiwa kabisa Eagan Salla ametuandalia taarifa ifuatayo #bbcswahili #tanzania #kilimanjaro