Athari za ukame Amboseli Kenya: Mizoga ya wanyama yatapakaa

  • | BBC Swahili
    1,509 views
    Vifo vya wanyama katika hifadhi ya taifa ya wanyamapori ya Amboseli Kusini mwa Kenya, vinawapa wakati mgumu wafugaji jamii ya Masaai. Vifo hivyo vinatokana na athari za ukame ambapo wanyama wamekuwa wakihangaika kupata lishe kwani ardhi ni kavu huku jua likiwa kali katika eneo hilo. Wanahabari wa BBC Ann Ngugi na Judith Wambare walitembelea mbuga hiyo na kutuandalia taarifa hii. 📸@judith_wambare #bbcswahili #kenya #ukame