Ati ati ya Trans Mara- Kisii

  • | Citizen TV
    240 views

    Taharuki ingali imetanda katika mpaka wa Transmara na Kisii huku shule na shughuli za kibiashara zikitatizika kutokana na mapigano yaliyoanza wiki iliyopita. Taharuki hii ikishuhudiwa licha ng'ombe wawili waliodaiwa kuibwa na kupotea Transmara kurejeshwa.