Atupele Sanga: 'Nililia sana nilipoambiwa siwezi kupata kazi kisa sijasoma'

  • | BBC Swahili
    Katika mfululizo wa makala kuhusu vijana walio chini ya umri wa miaka 30 leo tunae Atupele Sanga maarufu kama @recho_interiorsdesgn ambaye katika umri wa miaka 23 amijikita kwenye sekta ya masuala ya ujenzi wa ndani ya nyumba na mapambo. Amepitia mengi kama mwanamke hasa ukizingatia ni sekta iliyotawaliwa na wanaume ambapo ni nadra sana kuona mwanamke akijishughulisha nazo. Mwandishi wa BBC @frankmavura amemtembelea @rechodecoration katika eneo lake la kazi kufahamu mengi juu yake. #bbcswahili #30under30 #vijana