Atwoli aunga mkono mkato wa mishahara ya wafanyikazi kufanikisha hazina ya nyumba

  • | Citizen TV
    3,646 views

    Katibu wa chama cha wafanyikazi COTU Francis Atwoli ameunga mkono mpango wa serikali wa kutaka kila mfanyikazi achangie angalau asilimia tatu ya mshahara wake kwa Hazina ya Nyumba. Mpango huo umekosolewa vikali na baadhi ya wafanyikazi ambao wanalalamikia kile wanachokitaja kama mbinu dhalimu ya mkato bila nyongeza ya mishahara.