Atwoli: ukosefu wa ajira kwa vijana chanzo cha misukosuko ya kisiasa

  • | NTV Video
    102 views

    Katibu mkuu wa Muungano wa vyama vya wafanyakazi COTU Francis Atwoli, ametaja upungufu wa baadhi za serikali ulimwenguni kutoa nafasi za ajira kwa vijana, kama chanzo kikuu cha misukosuko ya kisiasa inayoshuhudiwa katika mataifa hayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya