Austine alifungia Kenya bao la kusawazisha

  • | Citizen TV
    922 views

    Licha ya kucheza wachezaji kumi kwa zaidi ya dakika 65, harambee stars ya Kenya ilikwea kileleni mwa kundi a kwa sare ya bao moja dhidi ya angola kwenye mchuano wa chan usiku wa jana uwanjani kasarani.