Azimio kimekamilika na kiko tayari

  • | K24 Video
    67 views

    Kikosi cha Azimio One Kenya kimekamilika na kiko tayari kukabiliana na muungano wa Kenya Kwanza katika kinyanganyiro cha agosti tisa. Kinara Raila Odinga amesema hayo katika uwanja wa vision, eneo la Mukuru Kwa Njenga, akimkaribisha tena kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka katika muungano wa Azimio.