Azimio la Umoja umemuondoa Fatuma Dullo katika wadhifa wa Kiranja wachache katika bunge la Seneti

  • | KBC Video
    51 views

    Muungano wa Azimio la Umoja umemuondoa seneta wa Isiolo Fatuma Dullo katika wadhifa wa Kiranja wachache katika bunge la Seneti,katika kile kinachoaminika kuwa mwanzo wa hatua za nidhamu dhidi ya wanachama wake ambao wameamua kuegemea upande wa muungano tawala wa Kenya Kwanza.Muungano huo umempandisha cheo seneta wa Narok Ledama Ole Kina kuwa kiranja wa wachache huku seneta wa Nairobi Edwin Sifuna akiwa naibu wake.Mabadiliko hayo hata hivyo yanasubiri kuidhinishwa na spika wa bunge hilo Amason Kingi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #azimiolaumoja #News