Azimio watishia kurejelea maandamano iwapo serikali haitaondoa mswada wa fedha wa mwaka 2023

  • | KBC Video
    57 views

    kiongozi wa muungano waAzimio One Kenya Raila Odinga amesema Wakenya watakabiliwa na nyakati ngumu zaidi kiuchumi iwapo mswada wa fedha wa mwaka 2023 utaidhinishwa kuwa sheria. Odinga amesema serikali haitilii maanani changamoto zinazowakumba Wakenya. Alionya kwamba iwapo serikali haitaondoa mswada huo, upinzani hautakuwa na budi ila kuitisha maandamano ya kuupinga.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #azimio