Azimio waunga mkono azma ya Raila kuwania uenyekiti wa tume ya AU

  • | KBC Video
    29 views

    Muungano wa Azimio La Umoja One Kenya umeunga mkono azma ya Raila Odinga ya kuwania wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya Muungano wa Afrika. Wakiongozwa na Kalonzo Musyoka, viongozi wa muungano huo walisema Odinga amekuwa akipatia masuala ya kitaifa kipaumbele na kwamba ana tajriba tosha ya kuwa mwenyekiti wa tume hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive