Azimio yakosoa serikali kuhusiana na gharama ya juu ya maisha

  • | KBC Video
    110 views

    Kinara wa mrengo wa Azimio la umoja, Raila Odinga, sasa anasema kwamba hawataafikia makubaliano yoyote na serikali ya Kenya Kwanza hadi itakaposhughulikia gharama ya juu ya maisha. Akizungumza huko Mombasa, Odinga alithibitisha kujitolea kwa mrengo huo kushghulikia maslahi ya Wakenya na kusema kuwa hawatalegea hadi serikali ichukue hatua za kupunguza gharama ya juu ya maisha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive