Azimio yashikilia kuwa mkutano wa Kamkukunji ungalipo

  • | K24 Video
    4 views

    Muungano wa Azimio umesisitiza kuwa mkutano wa kamukunji wa desemba 7 ambayo itakuwa siku ya jumatano utaendelea kama ulivyoratibiwa awalimuungano huo ukiongozwa na Raila Odinga, Martha Karua na David Murathe umeshangazwa na jinsi serikali ilivyotafsiri kuwa mkutano wao na wananchi utakuwa wa maandamano yenye fujomuungano umesema kwamba hauna nia yeyote ya kuzua vurugu mbali unataka kuwahusisha wananchi kutathmini swala la kufurushwa kwa makamishena 4 wa iebchaya yanajiri huku juliana cherera akijiuzulu siku chache tu baada ya justus nyangaya kujiuzulu