Skip to main content
Skip to main content

Azma ya Omtatah: Wakazi wa Kiambu wafafanua yanayowasibu

  • | KBC Video
    18 views
    Duration: 1:57
    Ukosefu wa ajira, uraibu na kudorora kwa usalama ni baadhi ya masuala yanayohitaji kushughulikiwa katika kaunti ya Kiambu. Haya yaliibuka wakati wa kikao cha majadiliano katika eneo laGithunguri, ambapo wawakilishi wa seneta Okiya Omtatah ambaye ameeleza azma ya kuwania urais walikutana na wananchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive