Skip to main content
Skip to main content

Baada ya miaka 11, Janet Mariachana arejea kufanya mtihani wa KCSE

  • | Citizen TV
    298 views
    Duration: 2:59
    Aliwacha masomo yake baada ya kukosa uwezo wa kuendelea na masomo yake miaka kumi na moja iliyopita. Ila sasa Janet Mariachana ambaye sasa ni mama ya watoto wawili amerejea kufanya mtihani wa kitaifa wa KCSE na ni miongoni mwa watahiniwa wanaofanya mtihani huu unaoendelea